Tuesday, September 4, 2012

A FRIEND YOU WILL NEVER FORGET

Hi friends, tell us which one of your friend you will never forget and why?

Tuesday, July 31, 2012

PIMA UWEZO WAKO WA KUFIKIRI

Kuna ndege 10002 kwenye mti, ukimpiga mmoja watabaki wangapi??? Jibu kwa maneno tafadhali na sio tarakimu.

Friday, July 27, 2012

MAFAO NSSF

Kuna taarifa kuwa limetoka tamko linalosema kuwa mtu mpaka kulipwa mafao yake inabid asubiri kwa miaka 55. Je wewe kama kijana mwenzangu uliyeajiliwa au ambaye unategemea kuja kuajiliwa una maoni gani juu ya hili tamko?

Wednesday, July 25, 2012

SHIDA YA KULALA NA WATOTO

Kuna binti mmoja alikuwa anaheshimika sana na wazazi na majiran kwa kuwa na tabia njema,kumbe alikuwa anajificha. Siku moja moja wazazi wake walisafiri wakamuacha yeye na mdogo wake tu home. Basi yule binti akawa anamleta boyfriend wake wanalala wote usiku. Wazazi waliporudi wakaja na wageni,dogo kuona vile ikabidi aulize.

DOGO:"Baba kwan hawa wageni wanalala hapa au wanaondoka?"
BABA:"Wanalala"
DOGO:"Dah! masikini dada!!!!"
BABA:"Vipi mbona unasikitika?
DOGO:"Namuonea huruma dada?"
BABA:"Kwann?"
DOGO:"Vitanda havitoshi!"
BABA:"Sasa hiyo inahusiana nini na dada yako?"
DOGO:"Mlivyoondoka kuna mgeni wa kiume alikuwa anakuja usiku,sasa kwa kuwa vitanda havitoshi ikabidi awe analala juu ya dada!"

KAMA UNA KICHEKESHO,MAONI,USHAURI AU CHOCHOTE AMBACHO UNGEPENDA KUSHARE NA MARAFIKI ZAKO TUMA KWENYE EMAIL ADDRESS HII NA KITA POSTIWA rafikiwamarafiki@gmail.com

Monday, July 23, 2012

JINSI YA KUJIUNGA (FOLLOW) BLOG HII

1. Angalia pembeni kulia utaona sehemu imeandikwa marafiki

2.Kwenye hiyo sehemu bonyeza sehemu iliyoandikwa JOIN THIS SITE

3.Itafunguka window mpya imeandikwa FOLLOW RAFIKI

4.Chagua email account yako(gmail,yahoo au twitter)

5.Ingiza email na password yako yako halafu bonyeza sign in

6.Utaambiwa conglatulation. Kisha bonyeza DONE.

7.Baada ya hizo hatua 6 sasa unaweza kutoa comments zako wakati wowote.

8.Ahsante rafiki

Sunday, July 22, 2012

MICHEZO

Kwa wale washabiki wa mpira. Click hizi link upate full story za Timu uipendayo
Barclays  Man UTD  Arsenal  Liverpool  Chelsea   Man city  Barcelona   Madrid


Na wapenzi wa movies na series hatujasahaulika tembelea hizi link kupata movie mpya na series za kutosha

MOVIEZ

MYVUE MTV MOVIEWEB

SERIES

TVSHOWS TVSERIES

MAMBO YANAYOSABABISHA AJALI ZA MELI

KUZAMA kwa meli ya Skagit Jumatano iliyopita ni ajali ya tatu ya aina hiyo kutokea hapa nchini na kusababisha vifo vya watu wengi.Mwaka 1996, ilitokea ajali ya MV Bukoba iliyozama Ziwa Victoria, ambayo kwa mujibu wa takwimu za Msajili wa Vizazi na Vifo Wilaya ya Mwanza, ilisababisha vifo vya watu 1,020.

Mwaka jana ikiwa miezi kumi imepita hadi sasa, pia ilitokea ajali nyingine ambapo meli ya MV Spice ilizama katika ukanda wa Bahari eneo la Kisiwa cha Nungwi na kusababisha vifo vya watu zaidi ya 200.

Matukio mawili ya Mv Spice na Skagit yaliyotokea nchini kweye Bahari ya Hindi, katika kipindi cha miaka miwili mfululizo yameshtua wengi.

Saturday, July 21, 2012

WELCOME

Welcome my friend. This blog is designed for the purpose of keeping us(ME&YOU) in contact all the time. Hope you will enjoy the content of this blog. Your comment in each post is appreciated and needed the most to improve it .

I WARMLY WELCOME YOU MY FRIEND FEEL AT HOME