Wednesday, July 25, 2012

SHIDA YA KULALA NA WATOTO

Kuna binti mmoja alikuwa anaheshimika sana na wazazi na majiran kwa kuwa na tabia njema,kumbe alikuwa anajificha. Siku moja moja wazazi wake walisafiri wakamuacha yeye na mdogo wake tu home. Basi yule binti akawa anamleta boyfriend wake wanalala wote usiku. Wazazi waliporudi wakaja na wageni,dogo kuona vile ikabidi aulize.

DOGO:"Baba kwan hawa wageni wanalala hapa au wanaondoka?"
BABA:"Wanalala"
DOGO:"Dah! masikini dada!!!!"
BABA:"Vipi mbona unasikitika?
DOGO:"Namuonea huruma dada?"
BABA:"Kwann?"
DOGO:"Vitanda havitoshi!"
BABA:"Sasa hiyo inahusiana nini na dada yako?"
DOGO:"Mlivyoondoka kuna mgeni wa kiume alikuwa anakuja usiku,sasa kwa kuwa vitanda havitoshi ikabidi awe analala juu ya dada!"

KAMA UNA KICHEKESHO,MAONI,USHAURI AU CHOCHOTE AMBACHO UNGEPENDA KUSHARE NA MARAFIKI ZAKO TUMA KWENYE EMAIL ADDRESS HII NA KITA POSTIWA rafikiwamarafiki@gmail.com

1 comment:

  1. cvizuri kabisa dada yake na uyomtoto kufanyaki2kama icho anatakiwa kufunzwaadabu na wazazi kumleta mpenzi wake nyumban cvizuri anamfundisha mdogowake vbaya anatakiwa ahache

    ReplyDelete